Visitors

IDARA YA UHAMIAJI TANZANIA UHAMIAJI HABARI BLOGU KARIBU KWENYE BLOG RASMI YA IDARA YA UHAMIAJI TANZANIA TUNAKULETEA MATUKIO YANAYOTOKEA KILA SIKU KATIKA IDARA YA UHAMIAJI TAFADHALI TUNAOMBA TUFUATILIE PIA KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII

25 Septemba 2018

ZIARA YA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI MKOANI MBEYA KATIKA PICHA


Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala akiwasili katika Ofisi ya Uhamiaji mkoa Mbeya
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala akipokea zawadi ya Mable yenye nembo ya Uhamiaji kutoka kwa Afisa Uhamiaji Mkoa Mbeya Naibu Kamishna wa Uhamiaji Shaaban Omar Khatibu.

Gwaride la Honour of Guard likimsubiri kumpokea Kamishna Jenerali wa Uhamiaji


Kamishna Jenerali wa Uhamiaji akiongea na watumishi wa idara na taasisi za serikali katka mpaka wa Kasumulu mkoani Mbeya wakati wa ziara yake katika mkoa huo.

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji akisalimiana na Maafisa Uhamiaji


Kamishna Jenerali wa Uhamiaji akiwa na Afisa Uhamiaji mkoa Mbeya wakikagua mpaka wa Tanzania na Malawi huko KasumuluHakuna maoni:

Chapisha Maoni