Visitors

IDARA YA UHAMIAJI TANZANIA UHAMIAJI HABARI BLOGU KARIBU KWENYE BLOG RASMI YA IDARA YA UHAMIAJI TANZANIA TUNAKULETEA MATUKIO YANAYOTOKEA KILA SIKU KATIKA IDARA YA UHAMIAJI TAFADHALI TUNAOMBA TUFUATILIE PIA KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII

05 Desemba 2018

KARIBU MAONESHO YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA 2018

Elimu kwa Umma: Tafadhali tembelea banda letu viwanja vya Mwl. J.K. Nyerere (Sabasaba) kwenye Maonesho ya Tatu ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania tarehe 05-09 Disemba 2018.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni