Visitors

IDARA YA UHAMIAJI TANZANIA UHAMIAJI HABARI BLOGU KARIBU KWENYE BLOG RASMI YA IDARA YA UHAMIAJI TANZANIA TUNAKULETEA MATUKIO YANAYOTOKEA KILA SIKU KATIKA IDARA YA UHAMIAJI TAFADHALI TUNAOMBA TUFUATILIE PIA KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII

27 Desemba 2018

PROCEDURE FOR TANZANIA ONLINE VISA APPLICATION


Visa issuance process in Tanzania is now simplified. A prospective visitor to Tanzania can now easily apply, make payment and receive his/her Visa Grant Notice Online. To access this service an applicant will be required to:

             i.        Visit the Immigration Services website: www.immigration.go.tz
            ii.        Click “e-services” button;
           iii.        Select and click “e-Visa Application Form”
          iv.        Fill in the Online Visa Application Form;
            v.        Submit the scanned relevant attachments online;
          vi.        After submission of online visa application, an applicant will receive an e-mail message containing User Identification Number that will be used to track his/her application Online;
         vii.        Then an applicant will be required to make payment through one of the following methods:
a.            By Visa card;
b.           By Master card; or
c.            By Swift transfer (i.e. depositing money directly into bank account at the bank counter).
        viii.        After making fee payment, an Applicant will receive a notification that his payment has been received;
          ix.        After completion of visa process, an applicant will receive a “Visa Grant Notice” through his/her email address;
            x.        Having received the Visa Grant Notice, an applicant can now begin his/her trip to Tanzania.

CAUTION
Applicants are reminded to make their applications through Official Tanzanian Immigration Website (www.immigration.go.tz) and not any other link.


PRESS RELEASE - PROCEDURE FOR TANZANIA ONLINE VISA APPLICATION


PROCEDURE FOR TANZANIA ONLINE VISA APPLICATION


The Tanzania Immigration Services Department launched a new Online Visa Service on 26th November, 2018. A prospective visitor to the United Republic of Tanzania can now easily apply, make payment, and receive his/her Visa Grant Notice online.

To access these services, an applicant is required to visit the Tanzania Immigration Services Department’s website www.immigration.go.tz and click “e-services” button; select “Online-Visa Application”; and fill in the Visa Application Form.

Then, an applicant will submit his/her relevant scanned document attachments online; after which he/she will receive an email message containing User Identification Number that he/she can use to track status of his/her visa application online. 

Thereafter, an applicant will be required to make payment of his/her visa application fee either by Visa Card, Master Card, or Swift Transfer (i.e. depositing money directly into the Tanzania Immigration Services Department Bank Account at a bank counter). After payment of the respective fee, an applicant will receive a notification that the payment has been received.

Finally, an applicant will receive a “Visa Grant Notice” through his/her email, and begin his/her trip to the United Republic of Tanzania.

CAUTION
Applicants are reminded to make their applications through Official Tanzania Immigration Services Website (www.immigration.go.tz) ONLY and not through any other links.

24 Desemba 2018

UHAMIAJI SACCOS YAWAFARIJI WATUMISHI WAGONJWA NA WASTAAFU WA IDARA YA UHAMIAJI

Kamishna wa Utawala na Fedha Peter Chogero akimsalimia Mkurugenzi mkuu mstaafu wa Idara ya Uhamiaji Rafael Kubaga aliyestafu miaka miaka 30 iliyopita

Mwenyekiti wa Uhamiaji SACCOS akimsalimia Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Uhamiaji Rafael Kubaga wakati walipomtembelea nyumbani kwake Keko jijini Dar es salaam
Kamishna wa Viza Salum Mwichumu aliongozana na Maafisa Utumishi Mjogoro na Nuru Stephen kutembelea watumishi wa Idara ya Uhamiaji ambao ni wagonjwa kwa kuwajulia hali na kuwapatia zawadi ya Krismasi na Mwaka Mpya.
 





Kamishna wa Uhamiaji Utawala na Fedha Peter Chogero, Makamishna wa Uhamiaji Sheria na Viza Hanelore Manyanga na Salum Mwichumu, Mwenyekiti wa Saccos ya Uhamiaji Mrakibu Msaidizi Mdeme Charles, Leo tarehe 24 Disemba 2018 wamewatembelea wagonjwa ambao ni watumishi wa idara ya Uhamiaji pamoja na wastaafu kuwajulia hali zao pamoja na kuwapatia zawadi ya krismasi zilizotolewa na Uhamiaji SACCOS

Kwa niaba ya Kamishna Jenerali na watumishi wote wa idara ya Uhamiaji tumekuja kuwaona ndugu zetu kujua mnaendeleaje na afya zenu  tumekuja kuwapatia zawadi za krismasi na mwaka mpya kwa niaba ya afande Jenerali Anna Makakala ambaye ndio mlezi wa SACCOS kuonyesha bado tuko na ninyi katika kipindi hiki cha ugonjwa”amesema Kamishna Chogero

Aidha Kamishna Chogero amesema Idara ya Uhamiaji ipo pamoja na watumishi waliopo kazini na wastaafu ndio maana Uhamiaji SACCOS imewakumbuka kwa kutoa zawadi ya sikuku ya krismasi ili wafurahie vizuri.

Kwa upande wa Kamishna Mstaafu Dowson Mongi amesema “Namshukuru sana Kamishna Jenerali Anna Makakala kwa upendo anaotuonyesha kwa wastaafu na wagonjwa inaonyesha jinsi gani anatuthamini sie wastaafu,mungu aendelee kuwapa moyo wa upendo watumishi wote wa Idara ya uhamiaji

Pamoja na ziara hiyo ya kuwatembelea wagonjwa Kamishna Chogero na Kamishna Mwinchumu wamewatakia watumishi wote wa idara ya Uhamiaji heri ya krismasi na mwaka mpya.

Aidha amewakumbusha wananchi kutoa taarifa ya Uhamiaji au vyombo vya Dola pale wanapoona watu au makundi ya watu wanaohisiwa kuwa ni wahamiaji haramu hasa katika kipindi hiki cha sikukuu za Krismasi na mwisho wa Mwaka




Heri ya Krismasi kutoka Idara ya Uhamiaji