Matangazo

📢 IDARA YA UHAMIAJI TANZANIA — KARIBU KWENYE BLOG RASMI   ✦   📰 UHAMIAJI HABARI BLOGU — TUNAKULETEA MATUKIO KILA SIKU   ✦   📲 FUATA IDARA YETU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII   ✦   ✉️ WASILIANA NASI: info@immigration.go.tz   ✦   ☎️ +255-22-2850575/6

25 Septemba 2018

ZIARA YA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI MKOANI MBEYA KATIKA PICHA


Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala akiwasili katika Ofisi ya Uhamiaji mkoa Mbeya
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala akipokea zawadi ya Mable yenye nembo ya Uhamiaji kutoka kwa Afisa Uhamiaji Mkoa Mbeya Naibu Kamishna wa Uhamiaji Shaaban Omar Khatibu.

Gwaride la Honour of Guard likimsubiri kumpokea Kamishna Jenerali wa Uhamiaji


Kamishna Jenerali wa Uhamiaji akiongea na watumishi wa idara na taasisi za serikali katka mpaka wa Kasumulu mkoani Mbeya wakati wa ziara yake katika mkoa huo.

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji akisalimiana na Maafisa Uhamiaji


Kamishna Jenerali wa Uhamiaji akiwa na Afisa Uhamiaji mkoa Mbeya wakikagua mpaka wa Tanzania na Malawi huko Kasumulu