Kamishna Jenerali Wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter
Makakala Anawaalika Watanzania Wote Na Wakazi Wa Jiji La Dodoma Kwenye Uzinduzi
Wa Huduma Za E-Passport Katika Jiji Hilo
SIKU YA JUMATATU TAREHE 30/04/2018, Kuanzia Saa Tatu Asubuhi Kwenye Ofisi Za Uhamiaji
Dodoma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni