Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala
pamoja na Maafisa na Askari Wote wa Idara ya Uhamiaji kwa pamoja wanaungana na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein
na Watanzania Wote katika kuadhimisha Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni