Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Bukoba Dkt. Methodius Kilaini akisoma sala kabla ya Uzinduzi. |
Mkazi wa Bukoba Bwana Jamal Kalumuna akifurahia pasipoti yake mpya ya kielektroniki baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Deodatus Kinawiro. |
Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo Kuu la Katoliki Bukoba Mwadhama Desiderius Barthasar Rwoma akikabidhiwa pasipoti yake ya kielektroniki na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Deodatus Kinawiro. |
Sheikh Mkuu wa Manispaa ya Bukoba Alhaji Kichwabutwa alikuwa ni miongoni mwa viongozi wa Dini waliohudhuria sherehe hizo katika Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba. |
Kikundi cha Ngoma za Jadi kikitumbuiza |
Baadhi ya Maafisa Uhamiaji kutoka Mkoa wa Kagera waliohudhuria Uzinduzi huo |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni