Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Mrisho gambo akiingia kwenye ofisi za Uhamiaji mkoa wa Arusha tayari kabisa kwa tukio la Uzinduzi wa huduma za pasipoti za kielektroniki |
Kamishna wa Uhamiaji Divisheni ya Pasipoti na Uraia kwa pamoja na Afisa Uhamiaji wa mkoa wa Arusha wakimkabidhi pasipoti yake Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Gambo. |
Mheshiwa Gambo akiongea katika hafla hiyo ya uzinduzi wa e-passport mkoa wa Arusha |
Mmoja wa Wananchi walioomba pasipoti za kielektroniki akikabidhiwa pasipoti yake wakati wa hafla ya uzinduzi huo siku ya alhamisi 31 Mei 2018. |
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha akipokea pasipoti yake. |
Katibu Tawala Mkoa wa Arusha akiongea wakati wa uzinduzi |
Mkazi wa Arusha akikabidhiwa pasipoti yake ya kielektroniki |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni