Visitors
29 Septemba 2018
27 Septemba 2018
25 Septemba 2018
ZIARA YA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI MKOANI MBEYA KATIKA PICHA
![]() |
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala akiwasili katika Ofisi ya Uhamiaji mkoa Mbeya |
![]() |
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala akipokea zawadi ya Mable yenye nembo ya Uhamiaji kutoka kwa Afisa Uhamiaji Mkoa Mbeya Naibu Kamishna wa Uhamiaji Shaaban Omar Khatibu. |
![]() |
Gwaride la Honour of Guard likimsubiri kumpokea Kamishna Jenerali wa Uhamiaji |
![]() |
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji akiongea na watumishi wa idara na taasisi za serikali katka mpaka wa Kasumulu mkoani Mbeya wakati wa ziara yake katika mkoa huo. |
![]() |
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji akisalimiana na Maafisa Uhamiaji |
![]() |
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji akiwa na Afisa Uhamiaji mkoa Mbeya wakikagua mpaka wa Tanzania na Malawi huko Kasumulu |
24 Septemba 2018
22 Septemba 2018
20 Septemba 2018
19 Septemba 2018
11 Septemba 2018
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)