• Pasipoti
hutolewa kwa Raia wa Tanzania tu.
• Na ni haki
ya kila Mtanzania, Timiza wajibu wako.
• Zingatia
Taratibu za Uombaji na Utoaji wa Pasipoti.
Maombi ya Pasipoti huwasilishwa na mwombaji mwenyewe katika Ofisi za
Uhamiaji Makao Makuu, Afisi ya Uhamiaji Zanzibar, au kwenye ofisi yoyote ya
Uhamiaji Mkoa ama Wilaya anayoishi mwombaji au Ofisi za Balozi za Tanzania kwa waombaji
wanaoishi nchi za nje.
Huduma zote za Uhamiaji hazina Uwakala – Epuka Mawakala/Vishoka
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni