Visitors

IDARA YA UHAMIAJI TANZANIA UHAMIAJI HABARI BLOGU KARIBU KWENYE BLOG RASMI YA IDARA YA UHAMIAJI TANZANIA TUNAKULETEA MATUKIO YANAYOTOKEA KILA SIKU KATIKA IDARA YA UHAMIAJI TAFADHALI TUNAOMBA TUFUATILIE PIA KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII

22 Aprili 2021

Habari Picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Bunge

Dodoma, Tanzania 

Habari Picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan Mapema leo hii amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Taifa kwa Ujumla.

Wakuu wa vyombo  vya ulinzi na usalama nchini wamehudhuria tukio hilo akiwemo Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini CGI Dkt. Anna Makakala.
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hasan akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vyombo va Ulinzi na Usalama


Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hasan akiwa katika picha ya pamoja na marais wastaafu, mawaziri wakuu wastaafu, sanjari na viongozi wengine wastaafuRais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.Samia Suluhu Hasan akiwa katika picha ya pamoja na wake wa marais wastaafu na wake wa mawaziri wakuu wastaafu na wa viongozi wengine

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hasan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa nchi mbalimbali

Ndani ya Bunge
(Picha zote na Kitengo cha Uhusiano Uhamiaji Makao Makuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni