Kagera
Idara ya Uhamiaji
Mkoa wa Kagera mapema wiki hii imeshiriki katika uzinduzi wa Wiki ya Huduma za Sheria nchini inayoendelea Mkoani humo Wilayani Karagwe katika Viwanja vya stendi ya Omurushaka
villivyopo kata ya Bugene.
Uzinduzi huo uliongozwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti, huku Idara ya Uhamiaji ikitumia wiki hiyo kutoa Elimu kwa Umma kuhusu masuala ya Uraia, taratibu za Kupata Pasipoti na kuelimisha wananchi kuhusu madhara ya Wahamiaji haramu kuingia nchini ambapo ni hatari kwa ulinzi na Usalama wa Taifa letu.
#Wananchi Fichueni Wahamiaji Haramu
#Jukumu la Ulinzi na Usalama wa Taifa letu ni la kila Mtanzania
HABARI PICHA NA MATUKIO
![]() Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Marco Gaguti Akiongea na wananchi wa Karagwe hawapo Pichani Wakati wa Ufunguzi wa Wiki ya Huduma za Sheria |
![]() |
![]() |
Kazi Inaendelea |
![]() |
(Picha zote na Ofisi ya Uhusiano Uhamiaji Kagera) |