Dodoma, Tanzania
Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Mapema Leo Hii amezindua rasmi Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadae kulihutubia Bunge na Taifa kwa Ujumla juu ya Mpango Mkakati wa Serikali yake wa miaka mitano.
Katika Ufunguzi huo Uliofanyika Jijini Dodoma, Umehudhuriwa pia na Marais Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Waheshimiwa Mabalozi, Viongozi wa Dini Wakuu wa Vyombo ya Ulinzi na Usalama Nchini akiwemo Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Nchini (CGI) Dkt. Anna Makakala.
Aidha Rais Dkt. Magufuli Amesisitiza suala la Kudumisha Amani Umoja na Mshikamano na kuhakikisha Nchi inakuwa salama ili wananchi wake waweze kujiletea maendeleo na kuchapa kazi, kwa faida ya kizazi cha sasa na baadae
HABARI PICHA NA MATUKIO
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Katikati) akiwa katika Picha ya Pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini waliosimama Nyuma
|
 |
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Katikati) akiwa katika Picha ya Pamoja na Makamu wa Rais Wastaafu na Mawaziri Wakuu Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waiwa na Wenza wao waliosimama Nyuma |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Katikati) akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi vyama vya Siasa waliosimama Nyuma |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Katikati) akiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya Mabalozi wa Nchi Mbalimbali waliosimama Nyuma |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Katikati) akiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waliosimama Nyuma |
 |
Picha na Wabunge Zikiendelea
|
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Katikati) akiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya Viongozi wa Dini waliosimama Nyuma |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Katikati) akiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya Makatibu Wakuu waliosimama Nyuma |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Katikati) akiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya Watumishi wa Bunge waliosimama Nyuma |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Katikati) akiwa katika Picha ya Pamoja na Marais Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
|
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Akiagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini, baada ya Kumaliza Shughuli ya Uzinduzi wa Bunge Dodoma
|
 |
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Uslama Nchini wakipiga Saluti Kuagana na Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
|
 |
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Nchini CGI Dkt. Anna Makakala Akisalimiana na Mhe. Job Ndugai Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya Kumaliza Shughuli za Uzinduzi wa Bunge la 12 Jijini Dodoma
|
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Salamu ya Heshima |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Gwaride |

(Picha zote na Kitengo cha Uhusiano Uhamiaji Makao Makuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni