Idara ya Uhamiaji Tanzania Imeshiriki katika Kuaga Mwili wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Benjamin William Mkapa Katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jana alihudhuria Ibada ya Kumuaga Hayati Mzee Mkapa
Aidha Viongozi wengine akiwemo Kamishna Jenerali wa Uhamiaji (CGI) Dkt. Anna Makakala alihudhuria pia ibada hiyo, pia viongozi wa serikali, Majeshi mbalimbali na Wananchi waliendelea kumuaga Hayati Mzee Mkapa.
HABARI PICHA NA MATUKIO
|
Mwili wa Hayati Mzee Mkapa ukiwasili katika Uwanja wa Uhuru |
|
Kamishna Jenerali w aUhamiaji CGI Dkt. Anna Makakala akitoka Uwanjani Mara baada ya Kumaliza Misa Takatifu ya Kumuaga Hayati Mzee Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam
|
|
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene alivyowasili kuuaga Mwili wa Hayati Mzee Mkapa |
|
Baadhi ya Makamishna wa Uhamiaji Wakisubiri Taratibu za Kuaga Mwili wa Hayati Mzee Mkapa
|
|
Baadhi ya Maofisa Uhamiaji wakiwasili katika Uwanja wa Uhuru tayari kwa Kuaga Mwili wa Hayati Mzee Mkapa
|
|
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Ally Hapi akiwasili katika Uwanja wa Uhuru Kuaga Mwili wa Hayati Benjamin Mkapa
|
|
(Picha zote na Kitengo cha Uhusiano Uhamiaji Makao Makuu) |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni