Muheza, Tanga
Ziara ya Kikazi ya Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala Ilivyoendelea Wilayani Muheza na kupokelewa na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo.
Ziara hii imefanyika mapema mwezi huu ambapo CGI Dkt. Anna Makakala alipita katika kila Wilaya na vituo vya Uhamiaji Mkoa wa Tanga Sanjari na kufanya Ukaguzi wa Mipaka na utendaji kazi wa Maofisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji Tanzania
HABARI PICHA NA MATUKIO
|
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji CGI Dkt. Anna Makakala Akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Muheza Eng. Mwanasha Tumbo |
|
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji CGI Dkt. Anna Makakala Akisalimiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Muheza |
|
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala Akisaini Kitabu cha Wageni alipowasili katika ziara ya kikazi Wilayani Muheza |
|
Afisa Uhamiaji (W) Muheza |
|
Mkuu wa Wilaya ya Muheza Eng. Mwanasha Tumbo akitoa taarifa ya hali ya ulinzi na usalama ya wilaya kwa Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt. Anna Makakala |
|
Picha ya Pamoja Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania na Kamti ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Muheza |
|
Pichani, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji CGI Dkt. Anna Makakala kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Muheza Eng. Mwanasha Tumbo |
|
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji CGI Dkt. Anna Makakala akifurahia jambo na Mkuu wa Wilaya Muheza Eng. Mwanasha Tumbo (Mwenye Ushungi), (Kushoto) ni Afisa Uhamiaji Mkoa wa Tanga Mrakibu Mwandamizi Mbaraka Batenga |
|
(Picha zote na Kitengo cha Uhusiano Uhamiaji Makao Makuu) |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni