Kamishna wa
Uhamiaji Viza na Pasi, Mwichum Salum
amefanya ziara katika Mikoa ya Dodoma,Iringa na Njombe kuongea na Maafisa
na askari wa Uhamiaji kupanga mikakati ili kuzidisha utendaji wa kazi wa idara,aidha
Kamishna Mwichum ametembela vituo vya wilayani kujionea hali halisi ya utendaji
kazi.
Kamishna wa Uhamaiji Viza na Pasi Mwichum H Salum akisikiliza taarifa ya utendaji kazi kutoka kwa Afisa Uhamiaji Mkoa wa Dodoma Naibu Kamishna wa Uhamiaji Peter Jerome Kundy
|
Kaimishna wa
Uhamiaji Viza na Pasi Mwichum Salum akimsikiliza Afisa uhamiaji mkoa wa
Njombe Kamishna msaidizi Hosseh Kagimbo
kwenye kituo cha Makambako
|
Afisa
Uhamiaji Mkoa wa Dodoma Naibu Kamishna wa Uhamiaji Peter Jerome Kundy akisoma
taarifa ya utendaji kazi kwenye kikao pamoja na wafanyakazi wa mkoa wa Dodoma.
|
Maafisa wa
Uhamiaji Mkoa wa Njombe wakiwa katika picha ya pamoja na Kamishna wa Uhamiaji Viza
na Pasi baada ya kikao alichokifanya wakati wa ziara yake Mkoani hapo.
|
Kamishna wa
Uhamiaji Viza na Pasi Mwichum Salum akiwa katika picha ya pamoja na maafisa na
askari wa Mkoa wa Dodoma baada ya kikao.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni